Wachezaji Waliochoguliwa Kuwakilisha Timu ya Taifa Katika Mashindano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki 2024

Orodha ya Wachezaji Waliochoguliwa Kuwakilisha Timu ya Taifa Katika Mashindano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki 2024

Chama cha Mpira wa Wavu Tanzania, TVF, kimetangaza orodha ya wachezaji waliochoguliwa kuwakilisha Timu ya Taifa, ALMASI KINGS, katika Mashindano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayotarajia kufanyika nchini Rwanda kuanzia tarehe 01 hadi 10 Februari 2024.

Orodha hiyo inajumuisha jumla ya wachezaji wa kiume 14 kutoka katika vilabu mbalimbali nchini na nje ya nchi. Wachezaji waliorodheshwa ni:

  1. Ezekiel Rabson Machunde (JKT - Tanzania)
  2. Bathromeo Revocatus (High Voltage - Tanzania)
  3. Starlone Wilbard (KIUT - Tanzania)
  4. Deodatus Baitubake Mhandiki (Jeshi Stars - Tanzania)
  5. Ramadhani M. Ramadhani (Jeshi Stars - Tanzania)
  6. Faraja Gideon (Nyuki - Zanzibar)
  7. Charles Daudi (High Voltage - Tanzania)
  8. Ford Gunja (High Voltage - Tanzania)
  9. Omary Bure Hassan (Rukinzo - Burundi)
  10. Lameck Suligi David (Jeshi Stars - Tanzania)
  11. Raymond Bwachele (JKT - Tanzania)
  12. Rashidi Mustapha (JKT - Tanzania)
  13. Andrew Chiogero (Polisi - Tanzania)
  14. Khamisi Sadalla (Mafunzo - Zanzibar)

More News

Blog details image
Usajili
Arrow Icon

Kufunguliwa Kwa Dirisha La Usajili Kwa Vituo Na Shule Za Kulelea Watoto, Taasisi Binafsi, Makocha Na Waamuzi

Shirikisho la Mpira wa Wavu Tanzania – TVF, linawataarifu wadau wote kuwa dirisha la usajili kwa Vituo na Shule za kulelea Watoto, Taasisi binafsi, Makocha na Waamuzi limefunguliwa kuanzia leo tarehe 2/2/2024 hadi tarehe 16/2/2024.

Blog details image
Usajili
Arrow Icon

Kanuni za Ligi na Usajili 2023/24

TAVA yaendelea kuboresha sheria na kanuni zinazoongoza mpira wa wavu nchini - ikigusia msimu wa mashindano, mfumo, mahitaji na ada za usajili kwa mwaka 2023.

Blog details image
Usajili
Arrow Icon

Kufunguliwa Kwa Dirisha la Usajili 2023/24

Chama cha Mpira wa Wavu Tanzania (TAVA) kimefungua dirisha la usajili kwa msimu wa mashindano wa 2023/24, kuanzia tarehe 13/11/2023 hadi 12/12/2023. Maboresho ya kanuni yamefanyika kulingana na mahitaji ya wakati, na usajili utahusisha vilabu, makocha, wachezaji, waamuzi, na taasisi nyingine.